min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hii mbayahUku naendelea kunywa mo chungwa tatu kwa lisaa?
Hii mbayahUku naendelea kunywa mo chungwa tatu kwa lisaa?
Hahaha inabidi uweke mdada wa kaziKazi za nyumbani kupika,kufua,kuosha vyombo 😄
Ni vitu sipendelei kufanya
Bora niache kula kuliko kuacha MISHANGAZI 😋Kupenda kutoka na watu wazima
Ahahahah we ni imamu ujue kule masjdi nuur morogoro...😂😂😂😂😂😂Bora niache kula kuliko kuacha MISHANGAZI 😋
Kwanza likitajwa neno MSHANGAZI 😋tu, MNARA wa babeli 🥒 unainuka.
Sheikh nami nina moyo...nami binadamu sheikh, kuishinda nafsi ndio maana nimeoa MISHANGAZI 😋 yangu mi4 naukonga moyo, ila nafsi haitosheki, tunajitahidi kuvumilia tu.Ahahahah we ni imamu ujue kule masjdi nuur morogoro...😂😂😂😂😂😂
2Binadamu tupo kundi la wanyama ambapo upeo wetu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wanyama wengine wote. Kila mnyama anatabia fulani nzuri na mbaya yenye madhara na isiyokuwa na madhara.
Binadamu tumepewa uwezo kutambua tabia yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Zipo baadhi ya tabia ni nzuri lakini ukipitiliza kipimo huwa athari kwa namna fulani. Kuna vitu unatamani kuacha lakini unakuta umesharudia tena. Mifano hii ni baadhi ya tabia ambazo watu wanatamani kuacha lakini wanashindwa;
Kuvuta sigara,
kunywa pombe,
kulala sana na kuchelewa kuamka,
kuwa na huruma uliopitiliza,
Ngono kupita kuasi,
kujichua,
kukopa mara kwa mara na kutokulipa,
kutumia sana mitandao ya kijamii wakati una kazi za kufanya.
Hizo ni baadhi ya tabia ambazo mtu anaweza kusema nitaacha leo na kushindwa kuacha.
Nini kifanyike? Anza kwa kupunguza. Kama ulikuwa unawezo wa kulala hadi saa nne asubuhi weka hata kengele ya kukuamsha (alarm) na ikifika mda huo kweli jilazimishe kuamka. Hii nijia mojawapo tu.
kama una njia nyingine za kuacha tabia fulani embu tujuze hapa.
Hahaha inabidi uweke mdada wa kazi
unakuja kujutaKuwa na huruma uliopitiliza
Mbaya kuliko...Kuna mchekeshaji mmoja mnene anapenda kukaa tumbo wazi
Yaani jamaa hata iweje lazima atoe tongotongo na kuangalia akiwa Ana act
Na pia lazima achokonoe pua na kuangalia
Hakuna tabia mbaya kama hiyo ukizoea
Nikutafutie mchumba? 😃😃Kufikiria kuoa
Hahahah acha tu nitakumkula na kumwacha halafu tutagombana wa kwetu😅Nikutafutie mchumba? 😃😃
Ahahahah😄😄🤣🤣🤣Hahahah acha tu nitakumkula na kumwacha halafu tutagombana wa kwetu😅
Duu pole aiseeKupenda wanawake wenye matako makubwa yani nikiwaona tu akili inahama
Asa pole ya nini we nae😆Duu pole aisee
Si unapata tabu??Asa pole ya nini we nae😆
Inategemeana na kuna flat ni visu balaaSi unapata tabu??
Hutaki flat screen
Tako ni tako kikubwa likalike...Inategemeana na kuna flat ni visu balaa