Ni tabia gani unafahamu madhara yake lakini unakuta umeshaifanya tena?

hii ni mpya kwa kweli na anaeshika shika nyapu vipi
Hujawahi kuona wa kuchokonoa pua?? Na tabia ya mwanaume kuingiza mkono kwny suruali kujikuna walai sipendii yani kama nakuheshimu naacha kabisa na mkono wako sishiki tena...wanawake sisi hata mtu akiwa anawashwa atajikuna kisailensa sio wazi kama wanaume🙄ila huo wote ni uchafu na tabia mbaya jikune juu kwny nguo atleast ...ptuhhh😄😄😄
 
Sheikh nami nina moyo...nami binadamu sheikh, kuishinda nafsi ndio maana nimeoa MISHANGAZI 😋 yangu mi4 naukonga moyo, ila nafsi haitosheki, tunajitahidi kuvumilia tu.
Kumbuka kuwa kuna vijana wanategemea kukufaata na huwaambiii kiti kuhusu wewe hapo 😂😂😂😂😂🫵⚡⚡
 
Hujawahi kuona wa kuchokonoa pua?? Na tabia ya mwanaume kuingiza mkono kwny suruali kujikuna walai sipendii yani kama nakuheshimu naacha kabisa na mkono wako sishiki tena...wanawake sisi hata mtu akiwa anawashwa atajikuna kisailensa sio wazi kama wanaume🙄ila huo wote ni uchafu na tabia mbaya jikune juu kwny nguo atleast ...ptuhhh😄😄😄
Malezi mama malezi 😂😂😂
Siku hizi kwenye mitandao kuna watu wanarekodiwa bila kujijua.

Wanachofanya ni zaidi ya wanyama
Unajikunaje sehemu za siri public ?
Halafu wengine wanaenda mbali zaidi disgusting 🤮
 
Yaniii acha tuu...inachefua
 
Kukimbiza gari.
Kila nikijaribu kujizuia ikatokea IST imeniacha ni kosa mkuu.
 
Kumbuka kuwa kuna vijana wanategemea kukufaata na huwaambiii kiti kuhusu wewe hapo 😂😂😂😂😂🫵⚡⚡
Sheikh mimi si quraan(muongozo), wala mtume(s.a.w) ambae ndio tafsiri ya ama taswira haswa ya kitabu.

kwenye haya masihara huwa upo serious.. hii kauli yako unairudia sana sana.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaah mwanangu mi nakuzingua tuu kuwa na amani humu...😂😂😂🫵🫵
 
Pamoja mtaalamu, nikajua nipo kwenye utani we upo serious... 😂🤣
Imam masjid nuur
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huwa nakuzingua tuu mkuu daaah nahisi ulikua unasema hivi kimoyo moyo "" huyu jamaa jau sana, sasa mambo ya uimamu yanakujaje hapa ""
 
Muda wote nilikuwa nachukulia masihara, leo ndio nimejiuliza anatania km mimi ama yupo serious!?
 
Back
Top Bottom