Ni tabia gani unatamani usiwe nazo 202?

Ni tabia gani unatamani usiwe nazo 202?

Chaputa sioni mwanachama wenu hata mmoja anaetaka kuondoka chamani mwaka huu
Chama kimeongeza sera na kinatoa posho nzuri kwa wanachama, Kuna haja gani ya kutoka????[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kucheza kamari (kubet)


Kukaba watu


Kutapeli wanaume wa mkoani pale sokoni Karume



Kununua wadada telegram


Kutumia bangi


Kuwasema walokole


Nataka niache kulima cannabis sativa kule mbinga


Kutukana majirani kwa jambo dogo


Kunya kwenye mfuko na kutupa barazan kwako bila kujua kama umenikosea


Kushinda sana vijiweni
 
Back
Top Bottom