Ni Tabia gani unazo na ungependa Watoto wako warithi kutoka kwako?


Funguo unatoaje??au nayo inatoka kijasusi?
 
Rick boy huu Uzi akichangia mnitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hofu ya Mungu na kumpenda Mama yao kuliko chochote kama ninavyompenda Malkia wangu 'Bi Mkubwa'.
 
Kwa kuanza napenda kuwasalim kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania....
Bila ya shaka mu wazima wa afya ila kwa yoyote mwenye changamoto basi muumba wetu amfanyie wepesj katika jambo lake.

Moja kwa moja kwenye mada, watu wengi miongoni mwetu huwa na kitu ama tabia ambayo huwa mwenyewe haipendi na hatamani watu wake hususani watoto waifuate kutoka kwake.

Kwa mfano, miaka ya nyuma mwimbaji maarufu nchi Marekani maarufu kwa jina la Jay Z aliwahi kuulizwa katika moja ya interview ni kipi hapendi mwanae arithi zoka kwake, unajua nini ni kipi alijibu?. Bila kupepesa jamaa alisema hatamani mwanae hasa wa kike awe na lips [emoji182] kama zake.

Kwako mdau ni kipi hutamani mwanao akirithi toka kwako iwe ni muonekano au hata tabia..

#uzi ni picha

 
Viongozi wenzang wa CCM hakuna hata mmoja anaweza kubali mwanae ardhi tabia yake.
 
Au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…