π€£Wakuu,
Mimi tangu nianze kuishi mwenyewe nimekuwa nikishindia chai na biskuti. Sipiki kabisa, na kupika ni mpaka nisikie njaa sana hadi natetemeka ndo natafuata jiko liko wapi.
Yaani naweza nikaa siku nzima ndani bila kupika hadi njaa iniume sana
Nyie mmekuwa na tabia gani tangu muanze kuishi peke enu
HeeeeππΎπKuoga halafu najifutia pazia
Uki lala Uchi Hata wachawi hawakuoni kwenye RadaπKulala uchi.
πKulala uchi.
πππ em sema kweli?Uki lala Uchi Hata wachawi hawakuoni kwenye Radaπ
Video call tu ndio zitanipofusha haya macho_ jana nmekutana na bonge la kichaka alafu li K likubwa_