Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala.

So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi.

Hata uongozi ngazi ya mtaa au kata wameuwekea SEAL.

Je, unalijua hilo taifa?

Litaje nikupe vocha ya elfu 2.
 
6_bonobos_WHCalvin_IMG_1341 (1).jpg

Tumefikaje huku? DAAH!! TUMEKWAMA TUOMBE MSAADA!
YULE BABU ALITAKA KUZULUMU KISIWA SASA IMEKULA KWETU DAAH!! AISEE!! MAISHA MAGUMU..DUUH! MIZIMU ITUNUSURU...DAAH!! WAJAMENI DUUH!! TWAAFA!! AISEE!!!

ONA SASA TWAFA NA MANYOYA YETU SHINGONI!!!
 
Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi.
Hata uongozi ngazi ya mtaa au kata wameuwekea SEAL.
Je, unalijua hilo taifa?
Litaje nikupe vocha ya elfu 2.
Tanzania na Watanzania kwasasa hakuna Rais hapa. Ni hovyo Tena hovyo kweli. Akigombea 2025 mkataeni kwa nguvu zote kwa faida ya kesho yetu
 
Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi.
Hata uongozi ngazi ya mtaa au kata wameuwekea SEAL.
Je, unalijua hilo taifa?
Litaje nikupe vocha ya elfu 2.
Hili ndilo Mtikila (RIP) alitushtua nalo kipindi cha Mwinyi. Alisema tumekubakuli kutawaliwa na mgeni. Umati wote ukashangaa ni mgeni gani? Ndiyo akasema Mwinyi hastahili kutawala Tanganyika kwani ni raia wa nchi nyingine.
 
Alipoteuliwa kuwa Makamu wa Rais hukuona hilo na kulisema? Ni mtanzania, ndio maana alikuwa makamu wa Rais na Amekuwa Rais kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania,

Kama hii ndio karata wapinzani watatumia kumtoa Samia, watakuwa wapumbavu sana...hii itakua zaidi ya kumchukua yule fusadi na kumfanya mgombea wao
 
Back
Top Bottom