Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwanini?Umekosa kazi za kufanya,Mkuu.
Atakaelitaja hilo Taifa naomba ajipeleke yeye mwenyewe Central.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Maadili ya kukubali kutawaliwa?Lakini hilo taifa lina watu wana maadili Sana.
Tanzania na Watanzania kwasasa hakuna Rais hapa. Ni hovyo Tena hovyo kweli. Akigombea 2025 mkataeni kwa nguvu zote kwa faida ya kesho yetuDuniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi.
Hata uongozi ngazi ya mtaa au kata wameuwekea SEAL.
Je, unalijua hilo taifa?
Litaje nikupe vocha ya elfu 2.
Hili ndilo Mtikila (RIP) alitushtua nalo kipindi cha Mwinyi. Alisema tumekubakuli kutawaliwa na mgeni. Umati wote ukashangaa ni mgeni gani? Ndiyo akasema Mwinyi hastahili kutawala Tanganyika kwani ni raia wa nchi nyingine.Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi.
Hata uongozi ngazi ya mtaa au kata wameuwekea SEAL.
Je, unalijua hilo taifa?
Litaje nikupe vocha ya elfu 2.
Huwezi kuita uoga na uchawa kuwa ni maadili.Lakini hilo taifa lina watu wana maadili Sana.