Ni tangazo lipi la biashara la TV au redio unalichukia/unalipenda?

Matangazo yote ya Magodoro na matangazo yote yaliotaafsiriwa
 
Silipendi tangazo la chips snaksi, yule baba anaingia tu sebleni anaanza kumfokea house girl kala snacks za motto wakat kiuhalisia hata hakuona kama motto kadokolewa snaksi zake.

jingine la mpoki kuigiza kama Magu lile la 4G yan kaboa kinyama, though quality ya video nzuri but hajapatia ku act kama prezidaa

Nlilowah kulipenda ni lile la revola, mdada anulizwa tueleze siri ya mafanikio yako anajibu sio siri ni revola tu.....

jingine nlilipenda lile la zaman la tigo thumni, majamaa yamevaa kama watu wa mwaka 47 halaf wanaimba

jingine la redio lile la CRDB, wanaimba 'tusherekee mafanikio yetu, miaka 20 ya ubunifu wetu, bonge la nyimbo yani.

jingine cjui ni Barnaba yule anaimba namba za masafa ya redio one kila mkoa, ''cjui 91. 4 songeaaa, 97.8 kigomaaa this is radio one'', n.k,,,,n.k. kanyimbo katamu sana

lile la tigo la kuchanganyikiwa na mwanzo wa mwaka yani wanajmvi mnapoishia chuki zenu me ndo naanzia hapo, limenifika hapaaaa.....walitaka kumgeza yule baba alohojiwa na haki elimu akajibu vitu vya ajabu kule mtwara bt madaktari wakasema ule ni ugonjwa gani sijui jina lake limenitoka.

Coca cola na unillever (ommo, royco, blue band, n.k) ya Kenya nawakubali sana.
 
My best ever tv advert.....Honda the Cog
Lipo you.tube natumia simu nimeshindwa kuliweka hapa.
 
Safi kabisa umenena vyema Yan mulemule
 
Tangazo la pilsner ice la sauti ya simba na nyau silipendi, kwanza linahamasisha ulevi na pili bia yenyewe low quality kama mataptap..

Tangazo la salama condoms la kitambo kama jamaa anamkinga mkewe na koti kwenye mvua ndo nalipenda..
 
Tangazo linalonipaga uchungu ni lile la ticha anatoka home nyumba mbavu za mbwa kisha anaenda skul watoto wamekaa hadi ubaoni huku wengine wamwkalia dawati ambalo wao ndo kama wanalibalance kisha wanasukumana mpaka chini.. Dah
 
Nachukia lile tangazo la timiza
Eti mi nimekopa zaidi ya laki
Sita sijui nimenunua vifaa vya bandi yangu
Kisha yule jamaa anaanza kuimba imba

Timiza timiza, yani likipita tu nahama kabisa hiyo channel
Naunga mkono hoja yako mkuu, hata mm nalichukia kupita kiasi yan
 
Nigga you need a brother figure......you got brother issues



Downloading a commercial psshh SMH
 
Hahaha usiseme duniani na hujawah kuona tangazo la budweiser au mountain dew au apple......
 
Kuna tangazo la lake oil jamaa ni anapiga kelele kinoma...lile tangazo silipendi yaani kila nikilisikia kichwa kinauma
 
Huyo binti anaonekana shankupe fulani eti ....."Nisaidie homwork, nyambaff
 
I hate this yaan huwa nazima tv ama kuhamisha chanel
 
Kuna moja la zamani la ukimwi nilikua nalipenda sana.watu wanataja majina yao (kama kujitambulisha)..mimi naitwa george,mary,agness...alaf mwishoni wanamalizia kwa kusema huwezi jua kati ya hao waliojitambulisha ni nani mwenye ukimwi
Nalipenda sana hili tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…