Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua.

Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria mwengine ili kuondosha sitomfahamu nyengine. IMAGINE

1.Waziri wa kilimo amekiuka sheria za ununuzi wa sukari/bidhaa kwa manufaa ya watu wengine na hakuna hata maelezo ya kimsingi yaliyotolewa na waziri.

2.Waziri anavunja sheria za kudharau mamlaka ya uchaguzi na kuwahakikishia wananchi kuwa fulani atakuwa mbunge wenu kwa hali yeyote.

3.Muwekezaji kukopwa na serikali ili kuendesha shughuli za kibiashara.

Kuna mambo ya ajabu kama hujayaona nchi yeyote,ukija Tanzania utakutana nayo.
 
Back
Top Bottom