Ni Tanzania ya mwaka 1990. Ni kitu gani hakistahili kuwa kwenye picha hii

Hiyo nyumba yenye dish Itakuwa n nyumba ya Nyerere ili aangalie matukio ya duniani huko aje aanze kudanganya raia kuwa yeye n mtabiri

Wanafunzi wanavaa kisasa, n kama vile mtaala wa Cambridge umefungua matawi 1990s

Baadhi ya magari n model ya 2000s
 
Wataalamu wa Photograph reading and interpretation

Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?

View attachment 3664778
Picha yote haitakiwi kuwepo. Iko artificial sana sana. Hutumii hata sekunde kujua kuwa ni ya kutengeneza na siyo ya miaka hiyo. Kwa kifupi, teknolojia ya photography haikuwa kwenye level hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…