Wanyonya damu tukiona land cruiser tuna toka ndukii..Ni tetesi au habari zipi unazokumbuka ambazo zilivuma sana enzi hizo lakini hazikutokea.
Ninazozikumbuka ni pamoja na tetesi kamba dunia ingefika mwisho mwaka 2000. Nakumbuka kuna watu walikuwa wanaamini kabisa lakini haikutokea
Kuna waliouza nyumba, mashamba, na magari yao kwa bei ya chini sana. Walifanya hivyo wakiamini kuwa baada ya mwaka 2000 mali hizo hazitakuwa na thamani tena.
Baadaye mwaka 2000 ulipoingia salama, wengi walipata mshtuko wa kiuchumi na kulazimika kununua tena mali zao kwa bei ya juu sana.
Lakini pia kwenye miaka ya 1970, 1980 hadi mapema 1990 kulikuwa na imani iliyoenea sana kuwa kuna kikundi cha watu (mara nyingi walihusishwa na matajiri wenye magari meusi ya kifahari au watu weupe) wanaoteka watu usiku na kuwanyonya damu yote kwa kutumia sindano kubwa au mashine maalum kwa ajili ya mambo ya kishirikina au biashara.
Pia kuna stori za chuma ulete na nyinginezo kama hizo
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wanyonya damu tukiona land cruiser tuna toka ndukii..
Enzii za wachuna ngozii MBOZI MBEYAA
Wapiga nondo ili wauze mabucha.. MBEYA
Wanyonya damu.Hii ya wanyonya damu ilikuwa hatari sana aisee
Ikifika saa 12 tu nduki unarudi nyumbani
Tena walidai alikuwa ana titi moja,tombo dimwe😊😊😊kulikua na mnyonya damu tishio anaitwa Msekwa, walikuwa wanasema eti anamiliki Peugot 504 nyekundu na haina mlio kabisa...basi tulikuwa hatutembei nje zaidi ya saa 12 jioni....
popobawa 😂😂😂
Niliwahi kuskia hili neno kwenye wimbo flani wa Roma mkatoliki ila sikuelewa, baada ya kusoma huu uzi nadhani kuna kitu nimepata.Wapiga nondo ili wauze mabucha.. MBEYA
Wachuna ngozi ilikuwa ni kweli sio uzushiWanyonya damu tukiona land cruiser tuna toka ndukii..
Enzii za wachuna ngozii MBOZI MBEYAA
Wapiga nondo ili wauze mabucha.. MBEYA
Ilitokea mara moja pale MBOZI MBEYAWachuna ngozi ilikuwa ni kweli sio uzushi
Watu wa mkoani mbeya wanajua kama wapo wataongezea nyama.Niliwahi kuskia hili neno kwenye wimbo flani wa Roma mkatoliki ila sikuelewa, baada ya kusoma huu uzi nadhani kuna kitu nimepata.
Mwaka 2000 kungetokea vita kubwa sana dunia nzima, na huo ndo utakuwa mwisho wa maisha ya dunianiNi tetesi au habari zipi unazokumbuka ambazo zilivuma sana enzi hizo lakini hazikutokea.
Ninazozikumbuka ni pamoja na tetesi kamba dunia ingefika mwisho mwaka 2000. Nakumbuka kuna watu walikuwa wanaamini kabisa lakini haikutokea
Kuna waliouza nyumba, mashamba, na magari yao kwa bei ya chini sana. Walifanya hivyo wakiamini kuwa baada ya mwaka 2000 mali hizo hazitakuwa na thamani tena.
Baadaye mwaka 2000 ulipoingia salama, wengi walipata mshtuko wa kiuchumi na kulazimika kununua tena mali zao kwa bei ya juu sana.
Lakini pia kwenye miaka ya 1970, 1980 hadi mapema 1990 kulikuwa na imani iliyoenea sana kuwa kuna kikundi cha watu (mara nyingi walihusishwa na matajiri wenye magari meusi ya kifahari au watu weupe) wanaoteka watu usiku na kuwanyonya damu yote kwa kutumia sindano kubwa au mashine maalum kwa ajili ya mambo ya kishirikina au biashara.
Pia kuna stori za chuma ulete na nyinginezo kama hizo
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
KabisaKifimbo cha Nyerere akikisahau mezani hakuna anaeweza kukinyanyua,hata ukitumia Crane unapoteza muda wako...