ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Me naanza
1. Xaxa, vp, p, xkul
Hapo Huwa sijibu tena
2. Kuniita boss
Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala
3 Ela za UNICEF umeziona
Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi
4 Dear nikawambie kitu
Hasa sms ukitoka jinsia ya kike Huwa najua hili ni zwazwa
5 Mwanaume kunitumia sms za usiku mwema
Huwa sijibu najua fala tu hili
6 Brother tukutane unitoe hata bia mbili
Hapa najua kabisa hili fala
7 Nambie
Unitafute wewe halafu unitake nikawambie Mimi, hapo Huwa sijibu
8. Kukumbushana habari za shule
Nikutane au jitu linitafute uanze kunikumbusha habari ya mwalimu wa form 2 tuliisoma 2007, Huwa sijibu
9. SMS kutoka namba mpya unamuuliza nani? Anaanza kukwambia kumbe ulifuta namba yangu Huwa sijibu