Ni text Gani ukiiona unajua unachat na fala?

Ni text Gani ukiiona unajua unachat na fala?

Me naanza
1. Xaxa, vp, p, xkul
Hapo Huwa sijibu tena

2. Kuniita boss
Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala

3 Ela za UNICEF umeziona
Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi

4 Dear nikawambie kitu
Hasa sms ukitoka jinsia ya kike Huwa najua hili ni zwazwa

5 Mwanaume kunitumia sms za usiku mwema
Huwa sijibu najua fala tu hili

6 Brother tukutane unitoe hata bia mbili
Hapa najua kabisa hili fala

7 Nambie
Unitafute wewe halafu unitake nikawambie Mimi, hapo Huwa sijibu

8. Kukumbushana habari za shule
Nikutane au jitu linitafute uanze kunikumbusha habari ya mwalimu wa form 2 tuliisoma 2007, Huwa sijibu

9. SMS kutoka namba mpya unamuuliza nani? Anaanza kukwambia kumbe ulifuta namba yangu Huwa sijib
1. Xaxa, vp, p, xkul
Hapo Huwa sijibu tena

UMEWAZA SANA
 
Hongera ndugu kwa kujipata na kujitambua. Kuchat kwa SMS ni ujinga. Ukiona mtu anakutumia SMS fupifupi ambazo hazina maelezo yenye tija ujue anakuona wewe ni fala.
 
Tuna judge sana haya mambo ya uandishi lkn hata kwenye lugha kubwa duniani kama english ina short words nyingi tu kwenye uandishi wa sms. Mfano:
Because- coz
I don't know- idk
By the way- btw
As soon as possible- asap
Just kidding- jk
Let me know- lmk
Hayo ni baadhi.., ni sawa na uyo anayesema (kwahiyo- ko) hii ni kutokana na mtu kukwepa kuandika sentensi ndefu, hivyo anafupisha tu, haimaanishi hana akili.

Mi nina mfanyabiashara mwenzangu, jamaa yupo smart kichwani, kuongea, kuandika kwa mkono kwenye karatasi anaandika kiswahili safi kabisa. Ila kwenye sms ni mwendo wa kuweka short words. Nimeshazoea uandishi wake uyo jamaa. Kwa upande wangu siwez kum-judge mtu kwenye sms kwa uandishi wa short words. Labda hawa wanaoweka x kwenye s.

Hapo umezungumia Abbreviations na sio kufupisha hapa wanaongelea kufupisha na sio ku abbreviate maneno

Anayeandika Idk kumaanisha I don’t know anaeleweka kua amefupisha tofauti na anaye andika i dnt knw
 
Hii inakera sana kuna Fala mmoja tulisoma nae Chuo yani yeye kila akiniona tu ni story za Chuo tu...ubaya njia ya kuludia Home ndo karbu na kwao,

Yani siku hizi amenifanya nibadilishe Route nazunguka kweli ili kumkwepa Mshenzi yule.
.


Kulidia ....wale wale
 
Back
Top Bottom