fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
haram haramm😅😀🤣
Kula na kitimoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haram haramm😅😀🤣
Kula na kitimoto
Utakuwa na stress sana, maana unaonekaana ku over react na vitu vidogo sanaMe naanza
1. Xaxa, vp, p, xkul
Hapo Huwa sijibu tena
2. Kuniita boss
Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala
3 Ela za UNICEF umeziona
Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi
4 Dear nikawambie kitu
Hasa sms ukitoka jinsia ya kike Huwa najua hili ni zwazwa
5 Mwanaume kunitumia sms za usiku mwema
Huwa sijibu najua fala tu hili
6 Brother tukutane unitoe hata bia mbili
Hapa najua kabisa hili fala
7 Nambie
Unitafute wewe halafu unitake nikawambie Mimi, hapo Huwa sijibu
8. Kukumbushana habari za shule
Nikutane au jitu linitafute uanze kunikumbusha habari ya mwalimu wa form 2 tuliisoma 2007, Huwa sijibu
9. SMS kutoka namba mpya unamuuliza nani? Anaanza kukwambia kumbe ulifuta namba yangu Huwa sijibu
KUBWA KULIKO YOTE NI ILE MITOTO MIPUMBAVU INAYO SEMA BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU nikikutana na seng3 la hivyo najua tu nimekutana na seng3Me naanza
1. Xaxa, vp, p, xkul
Hapo Huwa sijibu tena
2. Kuniita boss
Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala
3 Ela za UNICEF umeziona
Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi
4 Dear nikawambie kitu
Hasa sms ukitoka jinsia ya kike Huwa najua hili ni zwazwa
5 Mwanaume kunitumia sms za usiku mwema
Huwa sijibu najua fala tu hili
6 Brother tukutane unitoe hata bia mbili
Hapa najua kabisa hili fala
7 Nambie
Unitafute wewe halafu unitake nikawambie Mimi, hapo Huwa sijibu
8. Kukumbushana habari za shule
Nikutane au jitu linitafute uanze kunikumbusha habari ya mwalimu wa form 2 tuliisoma 2007, Huwa sijibu
9. SMS kutoka namba mpya unamuuliza nani? Anaanza kukwambia kumbe ulifuta namba yangu Huwa sijibu
Binafsi hata nikiwa vip huwa sipendi kutukuzwa au kusifiwa na binadamuInategemea aina ya mtu anayekuita Boss. Boss imebeba maana nyingi.
Unaweza kuwa kuna mtu tajiri unafanyia kazi, ila akakuita Boss ni kwa sababu kile unachokifanya ni kikubwa zaidi ya hela alizonazo.
Mfano sisi ma-IT unaenda kufanya jambo kwenye kampuni fulani. Yule mtu kwanza lazima akuheshimu. Ndio maana unakuta anakuita Boss.
Ila malaya akikuita boss, aaah huyo mfute. Anakuvuta!
🥲🥲Astagaflilah
Inategemea na unafanya nini kwenye maisha, binafsi simu ndo lifeline kwenye mishe zangu, hakuna kitu nachukia kama mtu asiyejua kutofautisha r na l, lakini sometimes huwa inakuja sms ya mteja ina hizo mambo inabidi ui attend tu, ingekuww ni wewe nadhan ungepoteza wateja wengi sana.Sina stress me nahakikisha najipa raha
Me naishi sio kuishia, ndo philosophy yangu
Mteja anavumilikaInategemea na unafanya nini kwenye maisha, binafsi simu ndo lifeline kwenye mishe zangu, hakuna kitu nachukia kama mtu asiyejua kutofautisha r na l, lakini sometimes huwa inakuja sms ya mteja ina hizo mambo inabidi ui attend tu, ingekuww ni wewe nadhan ungepoteza wateja wengi sana.