Ni text Gani ukiiona unajua unachat na fala?

Utakuwa na stress sana, maana unaonekaana ku over react na vitu vidogo sana
Unaeza itwa boss na mtu anayetaka kukupa deal
 
Inategemea aina ya mtu anayekuita Boss. Boss imebeba maana nyingi.

Unaweza kuwa kuna mtu tajiri unafanyia kazi, ila akakuita Boss ni kwa sababu kile unachokifanya ni kikubwa zaidi ya hela alizonazo.

Mfano sisi ma-IT unaenda kufanya jambo kwenye kampuni fulani. Yule mtu kwanza lazima akuheshimu. Ndio maana unakuta anakuita Boss.

Ila malaya akikuita boss, aaah huyo mfute. Anakuvuta!
 
KUBWA KULIKO YOTE NI ILE MITOTO MIPUMBAVU INAYO SEMA BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU nikikutana na seng3 la hivyo najua tu nimekutana na seng3
 
Binafsi hata nikiwa vip huwa sipendi kutukuzwa au kusifiwa na binadamu
 
Sina stress me nahakikisha najipa raha
Me naishi sio kuishia, ndo philosophy yangu
Inategemea na unafanya nini kwenye maisha, binafsi simu ndo lifeline kwenye mishe zangu, hakuna kitu nachukia kama mtu asiyejua kutofautisha r na l, lakini sometimes huwa inakuja sms ya mteja ina hizo mambo inabidi ui attend tu, ingekuww ni wewe nadhan ungepoteza wateja wengi sana.
 
Mteja anavumilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…