Ni text Gani ukiiona unajua unachat na fala?

Kuna bro mmoja anauwezo sana kiuchumi kanipiga gape mbali tu na exposure lakini kila akitaka kunipa deal "utaskia Boss check email yako" namimi namjibu sawa Boss
 
Xawa tumekulewa boss
 
Huyu jamaa ni kichaa
 
Akiwa anatumia neno 'Ko' eti ndyo anamaanisha 'Kwa hiyo' .. Huwa sichati naye tena naona hili hamnazo.
Tuna judge sana haya mambo ya uandishi lkn hata kwenye lugha kubwa duniani kama english ina short words nyingi tu kwenye uandishi wa sms. Mfano:
Because- coz
I don't know- idk
By the way- btw
As soon as possible- asap
Just kidding- jk
Let me know- lmk
Hayo ni baadhi.., ni sawa na uyo anayesema (kwahiyo- ko) hii ni kutokana na mtu kukwepa kuandika sentensi ndefu, hivyo anafupisha tu, haimaanishi hana akili.

Mi nina mfanyabiashara mwenzangu, jamaa yupo smart kichwani, kuongea, kuandika kwa mkono kwenye karatasi anaandika kiswahili safi kabisa. Ila kwenye sms ni mwendo wa kuweka short words. Nimeshazoea uandishi wake uyo jamaa. Kwa upande wangu siwez kum-judge mtu kwenye sms kwa uandishi wa short words. Labda hawa wanaoweka x kwenye s.
 
Mi pia
 
Ongezea wale wa;

Sorry dear nmekuja inbox kwako bila taarifa
Naitwa _____ tupo group moja la ______
Naomba tuwe marafiki kwa ajili ya connection, status view na kuchart
🥰😅🤣
 
Me huwa sijibu message ya aina yoyote,una shida na mimi piga simu.full stop.
 
8. Kukumbushana habari za shule
Nikutane au jitu linitafute uanze kunikumbusha habari ya mwalimu wa form 2 tuliisoma 2007, Huwa sijibu
Hii inakera sana kuna Fala mmoja tulisoma nae Chuo yani yeye kila akiniona tu ni story za Chuo tu...ubaya njia ya kuludia Home ndo karbu na kwao,

Yani siku hizi amenifanya nibadilishe Route nazunguka kweli ili kumkwepa Mshenzi yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…