Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Ungekuwa china risasi kazaa zingetemnraTaifa Stars maana huwa wanajipa sifa kubwa kuliko uhalisia wa kikosi chao.
Unashindwa nini kunipeleka China! Hizo story za vijiweni kuhusu China mnazipata wapi, China unaijua wewe?Ungekuwa china risasi kazaa zingetemnra
Haya bwana mdogoUnashindwa nini kunipeleka China! Hizo story za vijiweni kuhusu China mnazipata wapi, China unaijua wewe?
Ningeshangaa niwe na mdogo wangu kilaza kama wewe, nilijua tu wewe ni mkubwa kwangu ila ufahamu umesinyaa.Haya bwana mdogo
OkNingeshangaa niwe na mdogo wangu kilaza kama wewe, nilijua tu wewe ni mkubwa kwangu ila ufahamu umesinyaa.
Kama simba vileTaifa Stars maana huwa wanajipa sifa kubwa kuliko uhalisia wa kikosi chao.
daahMie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.
(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Tumeshakusamehe.. Ila ombi langu kwako jiandae kisaikolojia 30/09/2018 tunaenda kushusha ghalika Taifa Stadium.Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.
(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh