Ihayabuyaga
JF-Expert Member
- Aug 22, 2011
- 481
- 530
Simba na Yanga zikifungwa huwa nafanya sherehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Usijali Mtani wangu tena kama mie nitafunga safari kuja kuona hiyo game ila msikimbie tu maana hapatatosha hapa jukwaani na huko mtaani.Tumeshakusamehe.. Ila ombi langu kwako jiandae lisaikolojia 30/09/2018 tunaenda kushusha ghalika Taifa Stadium.
Hahaha.. Sawa Mtani.Hahahaaaa. Usijali Mtani wangu tena kama mie nitafunga safari kuja kuona hiyo game ila msikimbie tu maana hapatatosha hapa jukwaani na huko mtaani.
Tuombe uzima Insha Allah. Maana nyasi zitawaka moto. Teh tehHahaha.. Sawa Mtani.
Msimu huu.. Utakua na furaha mchanganyiko.. Simba tutakua tunakupa huzuni, Ndala wanakuburudisha.Simba na Yanga zikifungwa huwa nafanya sherehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga ikifungwa na Mbao ni full raha kumoyo.
Sawasawa [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.
(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Si ilikua mechi ya bonanza ile maana Bingwa alikua kashatwaa ndooilika bado kukabidhiwa tuMie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.
(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Kama Shimbwa na huyu KagereTaifa Stars maana huwa wanajipa sifa kubwa kuliko uhalisia wa kikosi chao.
Acha utani na Kagere.Kama Shimbwa na huyu KagereView attachment 862426