Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Raha ya Matopeni kufungwa hutiwa kachumbari kesho Haji akielezea jinsi wa mchangani wanavyoonewa. Na ushahidi wa screen analeta. Eti TFF yote hawaitaki Simba. Marefa wanaionea Simba.
Simba ikishinda, Marefa wako fair. Haji Manara. Simba SC Communication Director.
 
Timu ambzo czpendi ni

1 Brazil
2 Taifa Haramu
3 Ghana
4 Saudi Arabia
5 Ivory coast
6 South Afrika/Wauwaji
 
Kwa majibu haya hupati shida kujua watoa majibu ni team Gani[emoji23]
 
Timu yoyote anayochezea C. Ronaldo
Timu yoyote anayochezea Neymar
Timu yoyote anayochezea Messi
Yanga, Simba, Taifa Star
Arsena, Man utd, Liverpool.
Brazil

Kiufupi sipendi timu zenye washabiki sifa na wachezaji wenye mijisifa
mkuu ww ni mtetezi wa wanyonge
 
Timu ya Manchester United inapofungwa huwa napata raha sana na naiombea ifungwe hivo hvo ili nizidi kufurahi.

Je wewe ni timu gani inakupa furaha wakifungwa???
Mie nafurahi sana ikifungwa CCM.![emoji12] [emoji12] [emoji12] alaa kumbe umesema timu ya mpila.
 
Barcelona,man u,yanga, yaani hawa wakifungwa nakuwaga na amani ya nafsi
 
Mi Manyau na Mikia wakifunga roho huwa ina Cool down hata km joto siku hiyo ni kali vp.
 
Back
Top Bottom