Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hapa mimi taonekana mchawi maana wakipigwa hawa mimi hua nachinja hata kuku wa jirani kwa furaha,
-man city
-barcelona
-ndala fc
-uholanzi
-argentina
-n.k.
ARSENAL na CHELSEATimu ya Manchester United inapofungwa huwa napata raha sana na naiombea ifungwe hivo hvo ili nizidi kufurahi.
Je wewe ni timu gani inakupa furaha wakifungwa???
Hapo kwenye Man U toa weka Chelsea or ArsenalMan U na Simba zikifungwa huwa nafurahi.
mkuu ww ni mtetezi wa wanyongeTimu yoyote anayochezea C. Ronaldo
Timu yoyote anayochezea Neymar
Timu yoyote anayochezea Messi
Yanga, Simba, Taifa Star
Arsena, Man utd, Liverpool.
Brazil
Kiufupi sipendi timu zenye washabiki sifa na wachezaji wenye mijisifa
Mie nafurahi sana ikifungwa CCM.![emoji12] [emoji12] [emoji12] alaa kumbe umesema timu ya mpila.Timu ya Manchester United inapofungwa huwa napata raha sana na naiombea ifungwe hivo hvo ili nizidi kufurahi.
Je wewe ni timu gani inakupa furaha wakifungwa???
Weee Chelsea naipenda, Arsenal naioneaga huruma😂😂😂Hapo kwenye Man U toa weka Chelsea or Arsenal