Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

"Kandambili" yaaani hawa jamaa wakifungwa hata bia inakua tamu.
 
Asee, sijui nisemeje.... YANGA wakifungwa huwa ni burudani sanaaaaaaa....... na Mwaka huu watajuta sana... jiandaeni.
 
Real madrid ikifugwa huwa naenda Bar kujipongeza. Ikifungwa tu ni PM utakunywa upendavyo ila Savanna sinunui
 
Ikifungwa yanga jamani na arsenal nafurahi sanaaaa na bila kuisahau barcelona
 
Back
Top Bottom