Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.

(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Ahaaaaaa kumbe nawe mwana Jangwani😀😀😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile gemu tamu sana
Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.

(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile gemu tamu sana
Yaaani. Nilishiba siku ile sikuwa na haja ya kula tena. 😂😂😂😂
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utani wa ngumi huoo,kale karekodi kalivunjiliwa mbali
Yaaani. Nilishiba siku ile sikuwa na haja ya kula tena. 😂😂😂😂
 
The rank by importance
1 simba (mikia FC)
2 Manchester United
3 England national team
 
Mimi timu zote Duniani.. Ikifungwa Mikia SC yaan moyo wangu wasuudhika sana dadadeq
 
Back
Top Bottom