Habari zenu?
Miaka 11 iliyopita baada ya kuwa nimehitimu kidato cha sita, sikutaka kuendelea na chuo moja kwa moja,nikaona niingie machimboni huko katoro kutafuta maisha kwanza, nimechimba mawe sana huko, nilikaa takribani miezi 6 bila kuonja papuchi.