Elections 2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

Elections 2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

Kweli SLAA anawatesa. bahati mbaya
ndio mgombea wa UKAWA. Na mgombea mwenza ni Juma Haji Duni. Mna kazi CCM mwaka huu!
 
WANABODI,
Kwa kuwa ccm wamemchagua Magufuli kuwakilisha CCM kuwania uraisi, kwa mbali naona MTU anayeweza kuwaunganisha UKAWA kiurahisi ni TUNDU LISU. REASONS, loading...

UKAWA chonde chonde tuleteeni Lissu.

Hapana..lissu bado tunamhitaji bungeni ili awatie homa magamba...
 
Kwahiyo Chadema mnakiri kwamba Slaa kachoka au!!??
 
ukiacha mamvi alokatwa slaa ndo anakubalika zaidi kwa mujibu wa tafiti
 
Magufuli hana lolote mbona jimboni kwake tumegaragaza serikali za mtaa.wala tusirud nyuma
 
Magufuli hana lolote mbona jimboni kwake tumegaragaza serikali za mtaa.wala tusirud nyuma

Kiongozi nimesema ngazi za chini tutachukua sasa kura anapewa na wasiojua madudu yake jimboni mwake. Pia si kwamba jimboni mwake ana Ziro. Watu wanasema Magufuli YES ccm NO
 
Back
Top Bottom