Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

Kama inakuuma mchukue Halima Mdee mkaanzishe Chama chenu...

Chadema wamesha maliza kazi yao na hiyo ndio Katiba yao..
 

Very strange perspective. Ingekuwa hivyo, Magufuli na CCM yake wasingetegemea vyombo vya dola kupambana na CHADEMA ili kukiangamiza chama hicho na makada wake, literally. Ubabe wa kishenzi uliotumika kuvuruga kabisa chaguzi za 2019 na 2020 tena kwa uwazi na ujeuri uliopitiliza usingetokea. Wala ujinga wa kulazimisha kuwa na wabunge wa viti maalum wa CHADEMA kinyume cha katiba na sheria za nchi usingefanyika.

Kumsifu Magufuli kwamba hakuwa na chembe ya unafiki katika yote hayo lazima uwe na a very twisted mind kama Magufuli mwenyewe alivyokuwa.

Hate CHADEMA as much as you may like. Abhor Mbowe to the core. Loathe Lissu to any extent. BUT don’t lose your sanity on the fundamentals. Tanzania ilipitia kipindi cha ovyo sana 2015 - 2020. Hata sasa CCM ikiendelea na ujinga wake na wananchi kudhani hawahusiki na siasa za nchi yao, tutaendelea kuishi mashaka yale yale na taifa litazidi kudidimia huku tukijifariji kwa propaganda za kijinga kama kawaida yetu.
 
Bravo! Hoja zenye mantiki.
 
Kama kweli ulisomea sheria na argument yako ndiyo hii basi ulikuwa kilaza mkubwa na hadi leo umebaki kuwa hivyo! Pamoja na kujitutumua sana lakini watu wameendelea kukupuuza hata ndani ya chama chako.

Ni vema ukajisahihisha!
Mbona huchambui hoja alizosema ili tumuone kwamba alikuwa kilaza kweli na kauli yako ndiyo yenye mantiki?
 
Brother P kwaelewa Chadomo ni kazi sana , lile ni kundi la vilaza wenye uthubutu wa kupambana, haiweze kama mkuu wa chama kufeli shule kwa kuzungusha zero aje awe mbadala wa CCM kusaidia taifa ,


CHADEMA kifutwe tu

USSR
akili zenu za ufisiem ndipo zilipoishia hapa
 
kaka yake MEKO alishamwambia hadharani kuwa Pascal Mayalla ni NJAA KALI SANA
 
Wew umezeeka vibaya. Bora uendelee kuandika habari zako za freelance. Unalazimisha KIKI za kijinga.

Wew nani upangie chama cha kufanya. Kwa taarifa yako Chadema ina jopo la wanasheria wabobezi na nguli wa sheria sio wew uliyepapasa na ki LLB chako cha mchongo.

Ondoa jamu kawai upupu njian upate kuishi.

Sasa subili mziki wa akina Kibatala mahakaman ndo akili itakukaa sawa.

WanaJF wekeni huu uzi wake wa kipuuzi alafa cku baada ya kazi ya Kibatala ukumbushwe.
 
Mayala kwa kisukuma kwetu ni NJAA KALI. Ametumwa na covid 19 kwa vipande 30

Nilishawambia MAYALA ni adui mkubwa wa CHADEMA. Ona sasa unaamasisha uadui kwa hoja dhaifu za kijinga jinga kutumikia vipande 30 vya akina COVID 19
 
Yaani unalalama tu lakini hata kutoa tu hizo "quates" za vipengere vya katiba vilivyokiukwa huvitoi...!

Msingi wa hoja zako, likely ni hisia na kichwa chako. Ni ngumu sana kujadili maoni/hisia zako...

Laiti ungekuwa unakwoti vipengere vilivyokiukwa ingekuwa vyema sana. Lakini kwa namna hii, sisi ambao hatujawahi kuiona hiyo katiba ya CHADEMA tutatumia reference gani sasa kujadili hoja yako..?

Please, think again...
 
Mmmh, leo bwana William Mshumbusi umeamkaje? Umetumia lugha kali na ya kutweza sana mzee Pascal Mayalla..

Lakini huyu mzee Pascal Mayalla naye ana tatizo. Katika umri wake hapaswi kuwa na tabia za kujiinua na kujikweza..

Inatusaidia nini sisi kutuambia ulisoma sheria na ulipata A ya sheria...

Umemwambia ukweli ila lugha uliyotumia ndiyo kasoro...

Inawezekana ni kwa sbb amekukera sana ..
 
Brother P tunakuheshimu sana, ila ya ngoswe waachie akina ngoswe,,
Brother P ulitakiwa kutoa somo siyo kuegemea upande mmoja wa CDM, je nikikuuliza je hawo Covid 19 toka mwanzo walikuwa halali,,je ni kwanni waliapishwa haraka mno??
 
Elimu za kibongo upuuzi sanaa
Ona huyu nae mtu mzima kabisaaa mtu unazeeka unajisifia eti nawe umesoma sheria wakati hata hakuna kesi yoyote uliyosimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…