Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

Paschal, Lugha sahihi pale Mlimani kwa wale tuliokaa pale Mlimani tunasema Kupiga Msonge na Sio Kupiga A!
Kwa hiyo Kama alipata A Sasa anajitambulisha kuwa ana akili kuliko Chadema wote? Kwa hiyo kama alifundishwa na Tulia maana yake ana akili sana? Tulia mwenyewe kwa matendo ya kuwaweka wale Virusi 19 bila udhamini wa chama ameonyesha kweli alikuwa Mwalimu wa Paskali!
 
Ahsante sana mtoa Hoja ,Ila ingependeza sana iwapo ungeweka vifungu vya Katiba ya chadema vinavyozuia mwenyekiti wa bawacha kujadiliwa na kikao chochote kile isipokua mkutano mkuu tu.ili tupate nafasi ya kuchangia vizuri Hoja yako.

Wote wangekuwa na uelewa kama wako ingefurahisha sana. Sasa tatizo wote wanamshambulia mchokoza mada.
 
Sasa kwa kufanya hivyo, ndiyo wewe na wenzako mumjibu kwa kutumia lugha za kuudhi? Jibu hoja zake kwa staha.

Vifungu vya katiba ya Chadema vinavyoonyesha udhaifu wa kimaamuzi vimewekwa kwenye uzi huu. Post namba 109. Jisomee mwenyewe.
Hiyo post namba 109 ndiyo hii ya kwako, we unaona kuna kifungu chochote umekiweka hapa?
 
Tatizo unatafutaga Sana kuonekana na CCM wakusaidie kwenye Mishe zako hapa mjini. We umezidi maarifa mwl nyerere? Unakumbuka alisema nn kuhusu cdm? Na we unatuambia hakifai.
 
Siku zote huwa nakuita mbong'oaji....ila sasa nadhani unaelekea kuwa bwabwa kabisa.
 
Na mimi nilitegemea ataanza tangu mwanzo jinsi hao kina Mdee walivyopatikana huko bungeni... Kwa mtiririko na kwa mujibu wa sheria hiyo anayojitapa kwamba alipiga A...
Cha ajabu naona amei attack katiba ya CDM moja kwa moja....
 
Mwandishi asiye na vipaumbele! Kila kitu yupo kucomment!with "0" impact.
 
Sisi wengine tunategemea hoja za kujibizana ili jambo hili liwe wazi tujue kama kuna mkono wa ccm au serkali kwenye hili.
Lkn kama cdm yenyewe inakiuka katiba yake yenyewe je itasimamia katiba ya nchi?
Pili kama taratibu za kinidhamu hazikufuatwa je kuna ubaya kuanza upya ili wawaondoe kihalali?
 
uko sahihi kabisa bwana P.Leson understood.kama hatuwezi kujifunza kutokana na makosa basi tutarudia makosa kila kukicha.
 
Achana na chadema we sukumagang nenda Chato ukamfukue rais wako katili na muuaji arudi ikulu
Usikute mpuuzi kama huyu amepewa heshima ya kuitwa kiongozi katika ile SACOSS yenye anuani kuu ya Tengeru
 
My bro Pascal Mayalla umevua chupi hadharani, chutama utunze kaliba yako, umetumia muhemko sana kuandika bandiko hili ukushirikisha akili iliyohuru, naamini uliandika ukiwa na whisky kichwani tulia uliedet utunze heshima yako ambayo inaporomoka kwa kasi ya juu.

Huenda ukafikiri umeandika hoja hapa, ili watu waijadili lakini ukweli ni kuwa hakuna hoja hoja hapa, bado naamini wewe ni mkubwa zaidi ya hiki ulichoandika hapa.
 
Shirikisha ubongo kidogo, kama lengo ni kushauri, angeweka hivyo vifungu tuvijadili hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…