Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

P ,endelea kuwatwanga hivyohivyo ili uhuni wao ujulikane na watanzania wote hasa wale mashabiki kindakindaki wasiojitambua
 
Huwezi kujiita authority kwenye katiba kisa eti ulipata A ya somo la katiba. Hii nayo ndio ilikuwa akili ya Magufuli akifikiri anaweza kila kitu kisa ana phd.
 
Dah, haki ng'wanangwa inafika mahali unajivua nguo mchama kweupe! Msomi wa sheria mbona unakuwa mburura namna hii! Kwani pale Mdee kapelekwa kama mwenyekiti wa BAWACHA au kama mwanachama aliyekiuka miiko ya chama? Naona tunapambana kutafuta ugali mkuu sijui kwa nini mama hajakuona akakupa hata U-DAS mwishowe utagonora mkuu!
 
mkuu mpe mama heshima yake. Hawezi kumteua mwanasheria uchwala kama mleta mada .
Tukumbuke kuwa jamaa alipata kura 2 za wajumbe 😛😛😛😛
 
Dhiaka yako imefanya andiko lako liwe la kishenzi. Ungejadili kama ushauri sawa maana kuna point. Lakini dhihaka limeifanya ya kijinga.
 
Maelezo kichefuchefu na ya kipumbavu.
 
Bravo braza hiki Cham Ni saccos fln hv
 
Harafu mbona siafu wa kijani mmeumia na kufurushwa hao covid? . shida ni nini magamba !!?. Mbona nyinyi maCCM mlimtimua Sofia simba hamkuingiliwa wala kupangiwa na mtu. Mbona mlimtimua Membe watu hawakupiga kelele !?. Lumumba tangu lini mliona Chadema wanatenda ya kuwafurahisha !. Mliwaweka vibaraka ndani ya chadema , Leo wameshitukiwa na kutimuliwa mnatoa povu. Kama mnaona wana potential si muwapokee huko Lumumba !?. Mbowe shikilia hapo hapo usiachilie .
 
Kumbe wee nawe ni kilaza hivyo…?!?
Law udsm ni miaka minne, tuambie ni kwa nini ulitumia zaidi ya miaka minne…!?
kesha kwambia walimu wake walikuwa akina Paramagamba na spika Tulia. Unafikiri kuna nini hapo?. Walimu wake ndo walimfanya hivi alivyo . like teacher like student.
 
Ukiona mkeo kakusaliti live,halafu lafiki yako au adui yako anamtetea sanaaa ujue kuna namna.Mimi sijasomea sheria
👏👏👏 ajabu sana mkuu. Huo upendo kwa chadema kwa hawa Lumumba sijui umetoka wapi !!.
 
Hoja zako P ni sahihi lakini zinashutumiwa kwa lilelile nililowahi kukueleza wewe... upofu wa mahaba.... wote wanaoponda hawaangalii mantiki hawautaki ukweli wanabaki na chuki ambayo ni sumu mbaya sana kwenye haki. Katiba ya Chadema imevunjwa na sasa wanabaki na dhahania, matusi na kejeli.
 
Hizi njaa, zinakusumbua, hivi kwanini P umeumia sana kuliko wahusika wenyewe, ukute bado wanakupa hela ili uichafue chadema.
 
Mungu atende muujiza tu kwako aisee unaboa mpaka basi 17/3 God pls do the needful !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…