Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

Mzee cheza na statistics nilizoweka hapo na reality DUNIA Huko watu wanacheza na namba wanalete hitimizo sio maneno matupu
Ukitaka kujua wanawake ni wengi kuliko wanaume usitazame mabinti ambao wapo kwenye age ya ubichi yaani miaka 16 hadi 26. Tazama wanawake walionza kuwa namba D na namba C. Age kuanzia 27 kuendelea utaona idadi kubwa ya wasimbe wanaofosi ndoa na wapo tayari hata kuolewa na mume wa mtu na hawapatikani hao wanaume wa kuwaoa.

Sasa namba zako sijui kama zinatazama huo upande.
 
Me? I knew what i was spoken. And you didnt understand how to spoke swahili, sio HEBU chutama, ni embu chutama Unakosoa kingereza kwa kiswahili huku hukijui?
Kiingereza hiki aseeee kmmk
 
Tatizo takwimu zako ni za kubumba.....
 
Nenda shule za misingi ukangalie idadi ya wasichana vs wavulana,kisha nenda hospital yyte angalia idadi ya watoto waliozaliwa siku hiyo wangapi ke na wangapi me
 
Tatizo lipo wapi? Is it your brain dont understood? What where you when we was educating? Jifunze boss, mbona sisi tumeweza?
What were you when we was educating? [emoji777] Where were you when we were being given an education? [emoji736]
Linguists karibuni kutusahihisha maana hii lugha si mother toung bali ni the most international language [emoji4]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Tupe elimu, tupe elimu. Engish is so troublesum.
 
Hivi sikuhizi na mambumbu kama nyinyi pia mnaruhusiwa kufanya research?

Maana factor zote zinapingana na research yako

Biological factors zinakubali kuwa wanawake ni wengi Kwa sababu Y Ina uwezo wa kusavaivu kuliko X

Political factor pia inakubali kuwa wanakufa wengi ni wanaume kuliko wanawake rejea vita ya Kagera na haya yanayoendelea Kongo Kwa Sasa Kila siku wanajeshi wetu wanakufa na kuacha wajane

Economic factors pia zinakubali kuwa wanakufa katika shughuli za kutafuta maisha wengi ni wanaume rejea ajali zinazotekea katika maeneo ya kazi na usafiri
 
Huwez kupima kwa macho

Not really
 
Wewe kama ni shoga usitafute visingizio.Kwenye nchi za kiislamu ambako wanaume wanaoa zaidi ya mke mmoja umewahi kusikia kuna mwanaume amekosa mke?
Kipindi cha mababu walipokuwa wanaoa ndoa za mitala umewahi kusikia kuna mtu alikosa mke?
TAKATAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…