Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

mwamposa na huyo kuhani mussa ni matapeli kama wengine tu, ndio maana kila mmoja anavutia kwake,

leo mmesahau kule kilimanjaro watu walikufa kia mafuta ya mwamposa na wengine kujeruhiwa akawakimbia, akashindwa hata kuwaponya majeruhi kwa hayo mafuta....achilia kuwafufua waliokufa...

mmesahau sababu analindwa na system ndio maana ile kesi ilifunikwa,

mwamposa, kuhani mussa, na manabii wote tz ni matapeli, wajasiriadini, wasakatonge...wanaotumia dini kujinufaisha..
 
kilimanjaro watu walikufa kisa mafuta ya mwamposa na wengine kujeruhiwa akawakimbia, akashindwa hata kuwaponya majeruhi kwa hayo mafuta....achilia kuwafufua waliokufa
images (1).jpg
 
Morrison ni mzima wa afya njema. Waliokuwepo Mo Arena jana wameona moto waje
 
Morrison nenda kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa ukatolewe hilo pepo ulilo tumiwa.
Lakini angalizo, akienda huko asije akaona huruma pale waliomroga watakapoanza kupukutika
 
Morrison anawatesa Yanga hapo hajaanza kucheza siku akiwafunga wataenda Airport na kile Kiti chao cha enzi kupokea upepo kwa jinsi watakavyovurugwa.
 
Acha roho mbaya Wewe,dunia ya Mungu hii wala sio yetu.
Labda unajisahaulisha alichokifanya Morrison, alitoa maneno ya kejeli na uswahili mwingi sana sijui ni Manara ndio alikuwa anamfundisha? Watu hawanywi maji kila siku kauli zake za kuwa "tuna wakera" sasa aendelee na wimbo wake wa kuwa anawakera mpaka sasa.
 
Yanga sasa si waloge wawe mabingwa wa Afrika kabisa, mbona wanaishia kufanya vitu vya kitoto tu, anyway ndio tabia za wachawi zilivyo siku zote hawapendi maendeleo ya wengine kwasababu wao wameshazoea kuishi kwenye vibanda vilivyochoka.
Nadhani ugonjwa wake hauhusiani na uchawi ila sasa mikwara ya sisi waswahili utasema ni kweli karogwa.
 
Yanga Tabia za kichawi hamjambo, kila mchezaji akitoka kwenu lazima mmpige misumari, Tena mnaapia kabsa kua mtamroga
 
Yanga sasa si waloge wawe mabingwa wa Afrika kabisa, mbona wanaishia kufanya vitu vya kitoto tu, anyway ndio tabia za wachawi zilivyo siku zote hawapendi maendeleo ya wengine kwasababu wao wameshazoea kuishi kwenye vibanda vilivyochoka.
Usisahau na ulozi wa paka
 
Morrison anawatesa Yanga hapo hajaanza kucheza siku akiwafunga wataenda Airport na kile Kiti chao cha enzi kupokea upepo kwa jinsi watakavyovurugwa.
Kuifunga Yanga ipi, amekuja simba kula pension
 
Yanga imekaa kishirikina sana ila Simba ikifanya vioja vya kawaida kama vya Paka inasakamwa sana mpaka kwenye vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom