Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Alijifanya muhuni sasa kakutana na .wahuni.zaidi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa "Usilipe baya kwa baya,bali lipa baya kwa jema".Acha visasi.Kila mtu atanuna kile anachokipanda,vinginevyo utakuwa unamsingizia tu Mungu
Yanga wanateseka Sana.Morrison ni mzima wa afya njema. Waliokuwepo Mo Arena jana wameona moto waje
Dawa imuingie matak*ni,akitikisika inamvunjikia sindanoAtulie hivyo hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo unataka kusema waswahili wa paka fc ndiyo wamempa busha ahangaike nalo?
Lakini angalizo, akienda huko asije akaona huruma pale waliomroga watakapoanza kupukutikaMorrison nenda kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa ukatolewe hilo pepo ulilo tumiwa.
Labda unajisahaulisha alichokifanya Morrison, alitoa maneno ya kejeli na uswahili mwingi sana sijui ni Manara ndio alikuwa anamfundisha? Watu hawanywi maji kila siku kauli zake za kuwa "tuna wakera" sasa aendelee na wimbo wake wa kuwa anawakera mpaka sasa.Acha roho mbaya Wewe,dunia ya Mungu hii wala sio yetu.
Nadhani ugonjwa wake hauhusiani na uchawi ila sasa mikwara ya sisi waswahili utasema ni kweli karogwa.Yanga sasa si waloge wawe mabingwa wa Afrika kabisa, mbona wanaishia kufanya vitu vya kitoto tu, anyway ndio tabia za wachawi zilivyo siku zote hawapendi maendeleo ya wengine kwasababu wao wameshazoea kuishi kwenye vibanda vilivyochoka.
Usisahau na ulozi wa pakaYanga sasa si waloge wawe mabingwa wa Afrika kabisa, mbona wanaishia kufanya vitu vya kitoto tu, anyway ndio tabia za wachawi zilivyo siku zote hawapendi maendeleo ya wengine kwasababu wao wameshazoea kuishi kwenye vibanda vilivyochoka.
Kuifunga Yanga ipi, amekuja simba kula pensionMorrison anawatesa Yanga hapo hajaanza kucheza siku akiwafunga wataenda Airport na kile Kiti chao cha enzi kupokea upepo kwa jinsi watakavyovurugwa.
HahahaaaKama nikweli atakuwa amepata haki yake,huwezi kujifanya mjuaji kwenye nchi ya watu
Nasikia kesho kutwa kwenye Super Cup atachetua kama kawaida yake!!!BM3 ni mzima... watafute kiki nyingine