Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

Kweli mkuu ingawa tumeshinda ila mpira mbovu kweli. Ushindi wa kubahatisha mie siupendagi kabisa. Ila nanyie Arsenal mjifunze kwa Barca anakugongea mpira na anakupa goli za kutosha
 
Hapana mkuu
 
Mkuu, bila shaka umekuwa "entertained" sana na game ya Arsenal dhidi ya Westham jana usiku.

Arsenal walipiga pasi sana na kupossess 70% na kuambulia sare na pointi moja.

Ni kweli kuremba kuna ladha yake, lakini kuremba bila ushindi hiyo wanaelewa Arsenal tu.
 
kwa tim man waliyonayo hata bila kupak bus wanashinda sema mo fala tu
 
tim kubwa ka united sio ya kupak bus kwa Bournemouth
 
C = si = sio???
 
Man City na Barcelona wanaremba na wanashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…