Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
Burudani hukamilika kwa ushindi!!! Hapo ndipo natofautiana na watu wa Emirates!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Burudani hukamilika kwa ushindi!!! Hapo ndipo natofautiana na watu wa Emirates!!
Kweli mkuu ingawa tumeshinda ila mpira mbovu kweli. Ushindi wa kubahatisha mie siupendagi kabisa. Ila nanyie Arsenal mjifunze kwa Barca anakugongea mpira na anakupa goli za kutoshaHope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Hapana mkuuHope mpo swalama,

Na ni mbaya zaidi kuwa na mwandiko mbaya na unafelini sawa na kuwa na mwandiko mzuri darasa zima halafu matokeo unafeli
Man U wakikutana na Man City hawachezei wala hawachezi mpiraAcha ushamba arsenal wanachezea mpira man united wanacheza mpira hiyo ndo tofauti
May 2018 urudi hapa utuambie haya tenaHuwa hatu enjoy mpira mzuri sisi furahayetu ni makombe. Mpira mzuri tunamwachia Arsenal. MAN UTD ni klabu ya makombe sio mpira mzuri.
Mpira ingekua ni magoli pekee...tungepigiana penat tu...then tunaondoka uwanjani..ni sawa na kuwa na mwandiko mzuri darasa zima halafu matokeo unafeli
Akirudi utanitagMay 2018 urudi hapa utuambie haya tena
Mkuu, bila shaka umekuwa "entertained" sana na game ya Arsenal dhidi ya Westham jana usiku.Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
C = si = sio???Hope mpo swalama,

Man City na Barcelona wanaremba na wanashindaMkuu, bila shaka umekuwa "entertained" sana na game ya Arsenal dhidi ya Westham jana usiku.
Arsenal walipiga pasi sana na kupossess 70% na kuambulia sare na pointi moja.
Ni kweli kuremba kuna ladha yake, lakini kuremba bila ushindi hiyo wanaelewa Arsenal tu.