Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!

Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
 
Mkuu matatizo makubwa ya hii nchi ni Matumizi ya Nguvu ya Dola kwa CCM na Unyani kama alivyowahi kuuainisha Mtikila.
 
Mkuu matatizo makubwa ya hii nchi ni Matumizi ya Nguvu ya Dola kwa CCM na Unyani kama alivyowahi kuuainisha Mtikila.

Kuliko kutetea ukandamizaji wa vyombo vya habari ni bora zaidi kama havipo kabisa badala ya kutumika kudanganya umma. Si punde tutawatangaza machawa kama maadui tunaelekea huko msije kuomba huruma
 
Hakuna habar serious yyte inayotangazwa na kuandikwa tena aisee hawa watu ni wabaya sana.
Sasa wanatakaje??
 
Back
Top Bottom