Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
Kuliko kutetea ukandamizaji wa vyombo vya habari ni bora zaidi kama havipo kabisa badala ya kutumika kudanganya umma. Si punde tutawatangaza machawa kama maadui tunaelekea huko msije kuomba huruma