GE2025 Ni Ujumbe gani Tunaupeleka kwa Wafadhili na Wadau wa Maendeleo?

GE2025 Ni Ujumbe gani Tunaupeleka kwa Wafadhili na Wadau wa Maendeleo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kumalijasana

Member
Joined
Aug 5, 2025
Posts
6
Reaction score
1
Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua.

Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali hawana hata paracetamol, duh angalau sio hapa nchini kwetu
 
Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampong. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua.

Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali hawana hata paracetamol, duh angalau sio hapa nchini kwetu
Trump kuzibatiza nchi zetu hizi shithole countries alikuwa sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom