Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko

Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au kufurahia.

Kwasababu yoyote ile, siyo jambo sahihi kushika silaha na kumuua mtu mwingine au kumsababishia maumivu na uharibifu au upotevu wa mali zake

Haijalishi nani yuko sahihi au la, wahanga wa vita na ukandamizaji siyo wale wanaokosa au kuanzisha hizo vita, ni watu wasio na hatia, akina mama na watoto

Risasi inapopigwa aimtafuti mbaya peke yake, hali kadhalika bomu linaporushwa halimtafuti mtu mbaya peke yake, risasi inapiga mwema na mbaya na bomu linaleta madhara kwa mwema na muovu

Kwanini tunachukua upande, tunasimama na huyu au yule, washirika wa vita hii ya mashariki ya kati, wote ni watu wasiowaza vizuri, pengine wako kimaslahi zaidi

Wewe ndugu yangu hapa JF, nini kimekusibu mpaka unashangilia madhila ya watu wengine?> JITAFAKARI NA JIRATIBU

Gaza.jpg
israel soldiers.jpg
 
Katika pita pita yangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko

Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au kufurahia.

Kwasababu yoyote ile, siyo jambo sahihi kushika silaha na kumuua mtu mwingine au kumsababishia maumivu na uharibifu au upotevu wa mali zake

Haijalishi nani yuko sahihi au la, wahanga wa vita na ukandamizaji siyo wale wanaokosa au kuanzisha hizo vita, ni watu wasio na hatia, akina mama na watoto

Risasi inapopigwa aimtafuti mbaya peke yake, hali kadhalika bomu linaporushwa halimtafuti mtu mbaya peke yake, risasi inapiga mwema na mbaya na bomu linaleta madhara kwa mwema na muovu

Kwanini tunachukua upande, tunasimama na huyu au yule, washirika wa vita hii ya mashariki ya kati, wote ni watu wasiowaza vizuri, pengine wako kimaslahi zaidi

Wewe ndugu yangu hapa JF, nini kimekusibu mpaka unashangilia madhila ya watu wengine?> JITAFAKARI NA JIRATIBU
Wanashangilia kwa Udini zaidi,hamna la maana mkuu!
 
Unesema kweli , shida kuna mvinyo wa kuamini wale wazungu wanaoishi pale ambao ukisearch you tube wakihojiwa " who is jesus " hawana cha kujibu , tumeaninishwa ndo wale watoto wa nabii yakobo. Wachache watakuelewa mkuu
 
Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko

Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au kufurahia.

Kwasababu yoyote ile, siyo jambo sahihi kushika silaha na kumuua mtu mwingine au kumsababishia maumivu na uharibifu au upotevu wa mali zake

Haijalishi nani yuko sahihi au la, wahanga wa vita na ukandamizaji siyo wale wanaokosa au kuanzisha hizo vita, ni watu wasio na hatia, akina mama na watoto

Risasi inapopigwa aimtafuti mbaya peke yake, hali kadhalika bomu linaporushwa halimtafuti mtu mbaya peke yake, risasi inapiga mwema na mbaya na bomu linaleta madhara kwa mwema na muovu

Kwanini tunachukua upande, tunasimama na huyu au yule, washirika wa vita hii ya mashariki ya kati, wote ni watu wasiowaza vizuri, pengine wako kimaslahi zaidi

Wewe ndugu yangu hapa JF, nini kimekusibu mpaka unashangilia madhila ya watu wengine?> JITAFAKARI NA JIRATIBU

View attachment 3113289
Hili swali wakiliona chama chawala watalikimbia
 
Hayo ya ng'ambo siwezi kufurahia ila WANASISIYEMUWAKIFARIKI WOTETANGANYIKAHIINITAFURAHIASANAAAAA.
 
Wayahudi hawana dini wale ni makafiri tu, ndio maana wanauwa yoyote awekanisani au msikitini, wamelaaniwa wale.
Hili nalo ni la kuliangalia kwa umakini
 
Hili nalo ni la kuliangalia kwa umakini
Wengi hawajui hili, mtu mwenye Imani ya dini yoyote hata kuabudu ng'ombe hawezi kuuwa watoto na kuporomosha majumba. Angalia alichofanya Irani jana lile ni zao la uwepo imani ya uwepo wa Mungu, angalia anacho fanya Putin ni zao la uwepo wa Imani ya Mungu, Israel ni makafiri hawaamini uwepo wa Mungu.
 
Back
Top Bottom