Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Unaamini kweli watanzania hawana cha kufanya?Tatizo mamlaka hawafuati katiba na huna chakuwafanya
π― ni kweliAdui wa Tanzania ni watanzania.
Nakuelewa πββοΈHasira zangu zinanifanya mchango wng ukose maaana kwny hili
Mbona umekata tamaa mapema sana πHata kama tukiandamana ni sawa na KAZI bure,tunajipotezea muda,
Yaliyopita yametuachia maumivu makali sana, na yajayo je??Mbona umekata tamaa mapema sana π
Sidhani kama wanaweza kuthubutu kufanya ukatili kama ule kwa mara nyingine tena.Yaliyopita yametuachia maumivu makali sana, na yajayo je??
Wasifanye tena,maana ni hatari zaidi itakuwa wakifanya tena,,Sidhani kama wanaweza kuthubutu kufanya ukatili kama ule kwa mara nyingine tena.
Sikuwahi kufikiria nitaona umwagaji damu wa namna ile nchini kwetu, hapana kwa kweli πWasifanye tena,maana ni hatari zaidi itakuwa wakifanya tena,,
Ni kweli π―Hicho kipengele no. 1 ndo kigumu sana na ndicho kilichowatawala watz wengi.
Tatizo tunaongozwa na msagaji muuaji mwenye mtoto muuaji mfiraji.