Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,075
- 38,625
Wazo langu kama tunavyo someshwa dini na vitabu vyake kadhalika na katiba iwe hivyi.
Tunavyo kuwa wadogo tukifundishwa maonyo na wajibu utupasao kupitia katiba ni vigumu kuivunja katiba ukubwani kama inavyo tuwia vigumu kuzivunja kanuni za kidini kupitia kwenye vitabu vyake, na hata ikitokea kwa sababu ya ubinadamu dhamiri inatuuma na kudhamiria kuacha