Ni ukweli gani mchungu umeukubali kama mtanzania?

😅 😅

Mariah Carey Baby GIF by BuzzFeed.gif
 
wahuni kweli wapo kama Polepole alivyosema nimekubali ukweli mchungu ndo maana baada ya kuwagusa polepole kapotea ni kweli wapo na alichosema polepole ni kweli 99%😂😂
 
Alikua sahihi sana, angekuwepo leo angesaidia sana kuratibu haya mapambano ya Gen Z.
Wahuni walilijua hilo wakamdhibiti!
 
Yaah inapaswa tujielimishe kwanza, tuwe na letu moja kwanza.
Tujue tunataka nini na kwa njia gani litawezekana.
Ukithubutu kusema hivi kwenye nyuzi zao huko watakutukana.
Ndiyo maana tumekua rahisi sana kuburuzwa na watawala wa hovyo, hatupendi kushughulisha akili zetu kabisa.
 
Pande zote hawautaki huo ukweli, ni rahisi watu wa namna hiyo kua brainwashed hasa ukigusa hisia zao.
 
Back
Top Bottom