Facts π―Mambo mengi yanayoweza kukusaidia au kukudidimiza yamejificha kwenye maandishi; jifunze na endelea kupambania unachokiamini!
Ni hatari,,nimeshuhudia kadhaa wakimwagika damu Kwa risasi walizopigwa, sema mwanzo hatukuchukulia siriazi kama utakuja kutokea hivi,,lakini baada ya kushuhudia matukia na watu wa karibu wakimwagika damu ndipo tumeelewa kumbe ni siriazi,,Sikuwahi kufikiria nitaona umwagaji damu wa namna ile nchini kwetu, hapana kwa kweli π
Si kazi bure but ni step toward light. kwenye hili viongoz wetu bila kupigwa pressure hawawez kukumbuka majukumu yaoHata kama tukiandamana ni sawa na KAZI bure,tunajipotezea muda,
Nakubaliana na wewe, kuwafundisha watoto kuhusu katiba hasa mashuleni itasaidia sana kwenye kuwa na kizazi kinachojitambua na kuelewa their rights and civic duties.Wazo langu kama tunavyo someshwa dini na vitabu vyake kadhalika na katiba iwe hivyi.
Tunavyo kuwa wadogo tukifundishwa maonyo na wajibu utupasao kupitia katiba ni vigumu kuivunja katiba ukubwani kama inavyo tuwia vigumu kuzivunja kanuni za kidini kupitia kwenye vitabu vyake, na hata ikitokea kwa sababu ya ubinadamu dhamiri inatuuma na kudhamiria kuacha
Facts π―
Jau sanaKuongozwa na watu ninaowazidi elimu hususani kazini ππ
Umenichekesha, hebu niongeleshe na mimi hizo lugha nione kama ningekua boss wako ningekumudu au lah π€£Kuna muda uwa naongea lugha za kimataifa ofisini lengo niwaumize kuwa hata Kama wananipelekesha ila Mimi sio mwenzao
Watu ni wanyama sana, inatisha πNi hatari,,nimeshuhudia kadhaa wakimwagika damu Kwa risasi walizopigwa, sema mwanzo hatukuchukulia siriazi kama utakuja kutokea hivi,,lakini baada ya kushuhudia matukia na watu wa karibu wakimwagika damu ndipo tumeelewa kumbe ni siriazi,,
Oyegechi Binti wa zamani ?Jau sana
Umenichekesha, hebu niongeleshe na mimi hizo lugha nione kama ningekua boss wako ningekumudu au lah π€£
Nimetoka patupu, hujanitukana kweli? mitakozini ndiyo nini sasa πOyegechi Binti wa zamani ?
Nfugile mwesionzi ,mitazokini ?
Kumbe kuna kabila la watu weusi huko Netherlands?Hiyo ni lugha ya kabila la wamexico weusi huko Netherlands,
Hebu tusome katiba inasemaje kuhusu kuanzisha mahusiano ya kimahaba na watu waliokuzidi umri π .hapo namaanisha kuwa hivi bado unakuja kuwa nakupenda?
Je ni kosa tukianzisha mahusiano ya kimahaba
π― kweliIli Shati litakate lazima Maji yachafuke na Sabuni ipungue au iishe
Tujifunze kwao na tuwe siriaziWAZANZIBAR WAMESHIKAMANA KUJENGA NCHI YAO
π― ipo siku mambo yatabadilikaHadi sasa sijakubaliana na chochote najua ipo siku tu.
Kwamba wewe ndiye unanizidi Mimi umri au ?Nimetoka patupu, hujanitukana kweli? mitakozini ndiyo nini sasa π
Kumbe kuna kabila la watu weusi huko Netherlands?
Hebu tusome katiba inasemaje kuhusu kuanzisha mahusiano ya kimahaba na watu waliokuzidi umri π .