Ni ukweli unaoniuma ila acha tu niuseme Roho yangu ipoe

Hahahaaa! Hiyo ndo inatakiwa sasa na sio ajabu hata ukiwa ndani peke yako kutetema unatetema Mkuu.
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Kaka mkubwa binafsi mpaka sasa sijamuona mshambuliaji hatari kama Louise Miqson, na hakuna mashambuliaji kwenye ligi hii ya kibongo mpaka sasa aliyevunja rekodi yake sio kwa play consistency wala bei aliyouzwa sokoni baki na mayele wako. am out!! 😂😂 😂 😂
 
Kaka mkubwa binafsi mpaka sasa sijamuona mshambuliaji hatari kama Louise Miqson, na hakuna mashambuliaji kwenye ligi hii ya kibongo mpaka sasa aliyevunja rekodi yake sio kwa play consistency wala bei aliyouzwa sokoni baki na mayele wako. am out!! [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oooh! kameandika ila moyoni kanaumia
 
Kaka mkubwa binafsi mpaka sasa sijamuona mshambuliaji hatari kama Louise Miqson, na hakuna mashambuliaji kwenye ligi hii ya kibongo mpaka sasa aliyevunja rekodi yake sio kwa play consistency wala bei aliyouzwa sokoni baki na mayele wako. am out!! 😂😂 😂 😂

Miqquissone sio level ya kucheza Tanzania..

Simba yenyewe iliokota dodo sababu ya Mkopo wa Mamelodi Sundowns tu. Baadae wakawapa simba buree.

Mchezaji mwenye mkataba halali wa mamelodi sundowns aje acheze bongo kweli
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.

Mtani hongera umeanza kukomaa sasa kwa kuanza kukubali ukweli😂😂😂
Kalpana njoo usome huku
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Hapo mtani nimekukubali kwa kuwa muwazi.
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Siku hizi umeanza kuwa na akili kijana.
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Kwa pale ulaya una mfananisha na nani??
 
Kaka mkubwa binafsi mpaka sasa sijamuona mshambuliaji hatari kama Louise Miqson, na hakuna mashambuliaji kwenye ligi hii ya kibongo mpaka sasa aliyevunja rekodi yake sio kwa play consistency wala bei aliyouzwa sokoni baki na mayele wako. am out!! [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Luis ajawai kuwa striker hatari kwenye ligi ya bongo kwa sabb cheki rekodi yake ya magoli ana magoli mangapi??
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Okwi wa moto na Mayele huyu, unamchukua nani?
 
Luis ajawai kuwa striker hatari kwenye ligi ya bongo kwa sabb cheki rekodi yake ya magoli ana magoli mangapi??
Huyu Mayele ana magoli mangapi? Hata 20 alishindwa kufikisha... utopolo mkamchukia Mpole
 
Back
Top Bottom