Ni ukweli unaoniuma ila acha tu niuseme Roho yangu ipoe

Ni ukweli unaoniuma ila acha tu niuseme Roho yangu ipoe

Mashabiki wa Simba wanavyomchukia MAYELE utadhani MAYELE alishatetema kwenye.............by Oscar Oscar 2022
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
gsm ananunua mechi
 
Kama na wewe umesalimu amri kwa mzee wa kutetema mimi ni nani nikubishie, Wachezaji wa mtibwa walikusanywa kama unavyokusanya mtama kwenye jamvi na akawaweka kiutamu utamu[emoji1787][emoji1787]
Jemadari wa Kazumari atabisha.
 
Manyele, Feisal wanatakiwa Simba haraka sana.

kama vipi tuwagombanie kama morson
 
Jamaa kaleta uzi watu wanaanza kumtusi.... ila Genta sikuhizi amekua mpole sana.
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Unampenda mwanaume mwenzio.vipi tulete posa
 
Huu sio ustaarabu, wakati mwingine jamaa mnamuandama au kumtusi bila sababu za msingi. Wewe unayempenda Baba yako amekuletea Posa??
Mitandao isikutoe akili fala wewe.
Unampendaje mwwnaume mwenzio,baba ni baba
 
Huu sio ustaarabu, wakati mwingine jamaa mnamuandama au kumtusi bila sababu za msingi. Wewe unayempenda Baba yako amekuletea Posa??
Mitandao isikutoe akili fala wewe.
Cha Kushangaza 99% ya Wanaonichokoza Kutwa hapa Jamiiforums wanaachwa na Kuchekewa na Watoa Adhabu ila GENTAMYCINE nikiwajibu tu kwa Lugha yangu na Style yangu tukuka na niijuayo utaona haraka mno napigwa BAN ya Mwezi Mmoja au Mitatu.
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Akili kisoda
 
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.

Namkubali mno na Ninampenda.
Kula maepo yako ya GSM kimyakimya mkulu....hahahah popoma lililotukaka..
 
Hamna kitu Pale. Hajakutana na Beki kama ya Azamu. Mweupe sana. Sema hamna team yenye ukuta mgumu Kwa ligi ya NBC
Unatumia Nini kuelewa?amekuambia ligi ya NBC Kama hamna ukuta mgumu ndio maana yeye Amekua Bora.
 
Kaka mkubwa binafsi mpaka sasa sijamuona mshambuliaji hatari kama Louise Miqson, na hakuna mashambuliaji kwenye ligi hii ya kibongo mpaka sasa aliyevunja rekodi yake sio kwa play consistency wala bei aliyouzwa sokoni baki na mayele wako. am out!! [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukienda toilet unatetema
 
Back
Top Bottom