Hata sisi tunatambua ni namna gani vazi hili la mapigano makamanda wetu wanalipambania kwa thamani kubwa ya jasho,damu na machozi,Mpaka kuvaa gwanda si mchezo! Haijalishi ziwe za jeshi au polisi
Wanaume tumezisotea na tumezilia kiapo!
Ila yule askari wa Zenji nahisi alikuwa wa mchongo au aliingia kwa connection. Avae gwanda na aliwe ndogo?! [emoji15][emoji848] Haiwezekani
Samahani nimetoka nje ya mada kidogo ila gwanda ni habari ingine!
Huku wakijua fika madukani tokea miaka ya zamani hata leo hii nguo zinazolandana na za jeshi zimejaa tele si kwenye special wala mtumba na hawajai kuzuia uingizaji wake nchini kwahiyo ni kama mtego kwa consumers auSheria za nchi hazitaki mtu asiye member wa majeshi luvaa sare za jeshi lolote la tanzania au kuvaa sare inayofanana na jeshi. Hizo ni sheria alizotunga mbunge wako
Mm na wewe tuombe mbunge wetu apeleke mswada bungeni sheria hiyo ibadilishwe
Umesema wabuni sare? Je, hujui kama anayetizama filamu akiwa haijui Tanzania ndivyo atakavyoichukulia thamani hiyo ya sare kui-value Tanzania ya mawazoni kwake?Hawapo serious na kazi yao wanashindwaje kubuni sare ambayo watakuwa wanatumia kwenye filamu zao, kama wana malengo ya kuelimisha jamii kuachana na uhalifu ni bora kupitia kitengo cha Polisi jamii waombe elimu kidogo namna gani ya kufanya kwenye kazi zao haiwezekani afisa wa Rank ya juu amuite afande askari wa cheo cha chini yaani OCD anamuita afande askari wa cheo cha chini afande nani ataangalia move za hivyo labda watoto.
Mkuu haya mambo ni kujiongeza ushaambiwa usizae nguo inayofanana na jeshi loloteHuku wakijua fika madukani tokea miaka ya zamani hata leo hii nguo zinazolandana na za jeshi zimejaa tele si kwenye special wala mtumba na hawajai kuzuia uingizaji wake nchini kwahiyo ni kama mtego kwa consumers au
Inafanyakazi vizuri tuu ila nimpaka wadau wa sanaa waamue.Elimu hii wasanii na wanatasnia wengi hawaifahamu na hata kama wanajua uenda haifanyi kazi hivyo iliandikwa kisheria kwenye utekelezaji wake na vyombo vinavyosimamia hiyo haki.
Yule ndio mwanajeshi namba moja wewe kwa kipindi cha utawala wake.Watafute magwanda yanayofanana na sare labda za jeshi la Congo!
CHADEMA wanavaa kama polisi wa India na hakuna anaewabughudhi.
Wasamii wao ni nani ?
Kwa nini wawe juu ya sheria ?
Tulipinga na kulaani Rais wa kiraia JPM luvaa kijeshi sembuse wasanii ?
Ni ngumu kumsahau aliyesaliti chamaHivi badoo uko na mieee tyuuh?? Nkajua ushanisahau eti.
Huko kwenye vitu vya maana nimekuachia wee, uwakilishe genius. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule ndio mwanajeshi namba moja wewe kwa kipindi cha utawala wakSUDAN, BURKINA FASO, MALI, CHAD zinatawaliwa na jeshi chini ya mwanajeshi.
Sena wewe ulivyopata akili ndio Magufuli alikua Rais wako was kwanza kumuona kavaa gwanda.SUDAN, BURKINA FASO, MALI, CHAD, zinatawalliwa na mwanajeshi. Tanzania tunatawaliwa na raia huria, civilian rule.
Jeshi linashika silaha. Linapokea amri ya kunyanyua silaha kutoka kwa raia huria, civilian. anaeitwa Amiri Jeshi. Amiri Jeshi sio mwana jeshi.
Rais wa Tanzania sio mwanajeshi. Tanzania tunatawaliwa na civilian, raia huria.
Samia Hassan hana mafunzo ya jeshi, hana cheo cha kijeshi, hana silaha aliyopewa na jeshii, hana namba ya kijeshi
Vyeo vyote vya jeshi vina insignia, vina alama yake. Samia ana nyota ngapi ? Ana V ngapi?
Magufuli aliita fundi cherehani Ikulu akamshonea cadeti za jeshi, Samia nae lady see lady do, kaona haina shida kaiga!
Wanasiasa wanajua Raia hawana uelewa, na viongozi wenyewe hawana uzalendo, ndio maana wanatu take advantage na kuharibu mifumo ya taasisi za utawala bora.
Hii ndiyo ilisababisha serikali, kupiga marufuku mavazi yanayo fanana na yanayovaliwa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.Hili mbona linawezekana na ni rahisi sana. Tatizo vijana wahuni sana hawachelewi kutumia hizo uniform kutapeli watu.
Utawala bora ni nini kwa tafsiri yako?SUDAN, BURKINA FASO, MALI, CHAD, zinatawalliwa na mwanajeshi. Tanzania tunatawaliwa na raia huria, civilian rule.
Jeshi linashika silaha. Linapokea amri ya kunyanyua silaha kutoka kwa raia huria, civilian. anaeitwa Amiri Jeshi. Amiri Jeshi sio mwana jeshi.
Rais wa Tanzania sio mwanajeshi. Tanzania tunatawaliwa na civilian, raia huria.
Samia Hassan hana mafunzo ya jeshi, hana cheo cha kijeshi, hana silaha aliyopewa na jeshii, hana namba ya kijeshi
Vyeo vyote vya jeshi vina insignia, vina alama yake. Samia ana nyota ngapi ? Ana V ngapi?
Magufuli aliita fundi cherehani Ikulu akamshonea cadeti za jeshi, Samia nae lady see lady do, kaona haina shida kaiga!
Wanasiasa wanajua Raia hawana uelewa, na viongozi wenyewe hawana uzalendo, ndio maana wanatu take advantage na kuharibu mifumo ya taasisi za utawala bora.
Watafute magwanda yanayofanana na sare labda za jeshi la Congo!
CHADEMA wanavaa kama polisi wa India na hakuna anaewabughudhi.
Wasamii wao ni nani ?
Kwa nini wawe juu ya sheria ?
Tulipinga na kulaani Rais wa kiraia JPM luvaa kijeshi sembuse wasanii ?
Okay, wewe mwenye umri mkubwa tuonyeshe basi Nyerere na Mwinyi na Mkapa wakiwa na gwanda za kijeshi.Sena wewe ulivyopata akili ndio Magufuli alikua Rais wako was kwanza kumuona kavaa gwanda.
Pia inachangiwa na media technology ambapo siku hizi ata ukiwa mpitimbi huko kitu kikitokea huku
So umekiri kwamba wewe ni dogolasi...Okay, wewe mwenye umri mkubwa tuonyeshe basi Nyerere na Mwinyi na Mkapa wakiwa na gwanda za kijeshi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sema tyuuh unanikubaliii bas,Ni ngumu kumsahau aliyesaliti chama
Utawala bora ni nini kwa tafsiri yako?
Raia wote kuwa sawa mbele ya sheria, ni mhimili mmoja wa utawala wa sheria.
Wasanii sio watu wenye special class, ni raia huria, civilians, na Rais sio mwanajeshi, ni raia huria, civilian.
Sheria haiwaruhusu civilians kuvaa military fatigue. It is that simple.