cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kumekuchaaa!!!Matoto yahivyo yanakuaga mataariha, kibaka au shoga..[emoji2955]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekuchaaa!!!Matoto yahivyo yanakuaga mataariha, kibaka au shoga..[emoji2955]
Mabinti zangu walianza Kuala wenyewe miaka 2Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.
Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu hili swala.
Kivumbii
Asante kipenzi....Oooooh!!!Pole Kipenzi....
Nimeelewa...But kikubwa umerejea...
Hawa watoto wa miaka hiii akili zao wanazijua wenyewe smart!
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.
Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu hili swala.
Kivumbii
Kama kulala gizani ndio uwanaume je sisi ambao tumezaliwa na wazazi ambao bila giza hawapati usingizi imekaaje hapo.Miaka minne anatakiwa awe analala peke yake taa zikiwa on,miaka sita anatakiwa awe analala gizani kama wa kiume miaka mitano awe analala taa zimezimwa ili ajue mapema namna ya kukaza kiume
Miaka minne anatakiwa awe analala peke yake taa zikiwa on,miaka sita anatakiwa awe analala gizani kama wa kiume miaka mitano awe analala taa zimezimwa ili ajue mapema namna ya kukaza kiume
[emoji23][emoji23]Mpaka atakapooa au kuolewa.