Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

Mkuu hapo hapo umenikumbusha nimeshuhudia Sana hii Kwa majirani zangu kiasi kwamba mpaka naona aibu kuuliza japokuwa najua sio jambo zuri.

Mara nyingi nimeshuhudia mama anamchukua mtoto wake wa kiume wa Miaka 5,6 au 7 wanaenda bafuni na wakitoka wote wameoga.
Hata Mimi nimeshuhudia,na mara nyingi ma single Maza ndio Wana hizo tabia na mtoto wa kiume kama huyo akikua anajikuta kawa ana tabia za kishoga
 
Wangu wote wamehama baada ya kuanza kutembea (1 year plus)
First born tu ndo alivuta alivuta mpaka almost 2 years
 
Akianza kuona na kuelewa mambo

Wazazi muwe na siku 1 kila mwezi ya kulala na watoto wenu wote

Mnatandika magodoro chini mnavaa night clothes mnalala inaongeza upendo na ukaribu.
Inabidi kuwe na chumba maalum chenye nafasi au kama chumba cha wazazi ni kikubwa sana hadi licha ya kitanda, bado kuwe na nafasi ya kuweka magodoro chini. Ni kama kambi fulani hivi, hadithi nyingi, na kujua kinachoemdelea katika maisha yako.
 
Akiwa mchanga. Hajaacha nyonyo... kabisa unalala nae chumba kimoja bt kitanda tofauti. Anakuwa na kitanda chake.
 
Back
Top Bottom