Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

Kwa siku hizi mtoto akifikisha miaka 3 anende tu kulala na wenzake tofauti na wazazi, watoto wanajanjaruka mapema sana siku hizi
 
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.

Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.

Mnaonaje wakuu hili swala.

Kivumbii
Akizaliwa tu anatakiwa kulaΕ‚a peke yake ukimzoesha kulala na mtu hatakubali kulala peke yake mpk akifikia miaka 5.
 
Mambo ya kulala mtoto peke yake tuwaachie wazungu,
Sisi waafrica ni hatari sana mtoto chini ya miaka 7 kulala peke yake chumbani.
Ikumbukwe wanga na wachawi nao hawalali usiku.
 
Akizaliwa tu anatakiwa kulaΕ‚a peke yake ukimzoesha kulala na mtu hatakubali kulala peke yake mpk akifikia miaka 5.
Hata miaka 5 bado mdogo sana kulala peke yake.
90% ya watoto wa kiafrika usiku wakilala wanaweweseka sana usingizi,,
Ulozi na wanga ni mwingi sana,,
 
Hata miaka 5 bado mdogo sana kulala peke yake.
90% ya watoto wa kiafrika usiku wakilala wanaweweseka sana usingizi,,
Ulozi na wanga ni mwingi sana,,
eboo
ndo alale mwenyewe sasa ajue namna ya kupambana na wanga
kama ni maombi ajue,au kuja kutoa taarifa asubuhi pakikucha asaidiwe na wazazi
 
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.

Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.

Mnaonaje wakuu hili swala.

Kivumbii
Ni wiki tu baada ya hapa baba anahitaji kulala na mwenza wake waendeleze gegedo
 
eboo
ndo alale mwenyewe sasa ajue namna ya kupambana na wanga
kama ni maombi ajue,au kuja kutoa taarifa asubuhi pakikucha asaidiwe na wazazi
Mkuu umeshawahi kumwona mtoto akiweweseka usiku usingizini?
Mtoto anaamka na kutembea huku yupo usingizini,
Ni hatari sn mkuu.
 
Naona huyo mama hataki kuliwa au mlaji hana mapigo ya september 11 ambayo hata majirani hufurahia audio!.....mkuu fukuza huyo mtoto haraka kabla x yako haijasambaa mtaani!
Isambae mara ngapi???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzigo upo kuanzia shuleni hadi kitaa hajapata tu watu wa kumsanua
 
Mkuu hapo hapo umenikumbusha nimeshuhudia Sana hii Kwa majirani zangu kiasi kwamba mpaka naona aibu kuuliza japokuwa najua sio jambo zuri.

Mara nyingi nimeshuhudia mama anamchukua mtoto wake wa kiume wa Miaka 5,6 au 7 wanaenda bafuni na wakitoka wote wameoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…