Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika utakuwa na hela ya pango hadi siku yako ya mwisho duniani?Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga.
Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
Una akili za kitoto , ukishakuwa na Familia utajua umuhimu wa kuwa na sehemu ambayo watoto wako wanaita NyumbaniMimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga.
Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
Muige upasuke msambaElon Musk hana NYUMBA
Unamkosea Musk heshima kumuingiza kwemye situation ya huyu kijana.Elon Musk hana NYUMBA
Nmetolea mfano halisi ,kila mtu ana kipaumbele chakeUnamkosea Musk heshima kumuingiza kwemye situation ya huyu kijana.
...Unamfahamu Mzee mmoja kulle Arusha alikuja kujullikana kama ' Mzee wa Kikombe' ?Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga.
Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
Leo unaleta nyuzi za kukata tamaa sana mkuu , ninj kimekupata aisee?Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga.
Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
oa , milango itafunguka chap
🤣🤣🤣🤣chap tunamzika
Huna mpango wa kuendeleza kizazi bangiladesh bladkushte, watoto wako wanaishi wapi machakani?Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
Na picha tutapiga za kutosha kama ushahidi na funzo kwa wengine 😆🤣🤣🤣🤣chap tunamzika
Mtego huu😃oa , milango itafunguka chap
hahahaha