Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unawenge wazazi wetu wengi waliokuwa wafanyakazi wa umma walijenga nyumba baada ya kustaafu ni hivi karibuni ndio kumekuwa na utaratibu wa watu kujenga nyumba soon wapatapo ajira..Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga.
Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
Na hao wa ss wengi wanaojenga n wale wanaoiba huko makazin kwa mshahara wa serikali eti mtu miaka mitano awe kajenga hapana lazima awe mwiziWewe unawenge wazazi wetu wengi waliokuwa wafanyakazi wa umma walijenga nyumba baada ya kustaafu ni hivi karibuni ndio kumekuwa na utaratibu wa watu kujenga nyumba soon wapatapo ajira..
Muhimu ni kupambana tu hayo mengine ni matokeo tu na yanaweza kuwa chanya hlau hasi. Ishi furahia maisha ukiwa hai.