Wewe unawenge wazazi wetu wengi waliokuwa wafanyakazi wa umma walijenga nyumba baada ya kustaafu ni hivi karibuni ndio kumekuwa na utaratibu wa watu kujenga nyumba soon wapatapo ajira..
Muhimu ni kupambana tu hayo mengine ni matokeo tu na yanaweza kuwa chanya hlau hasi. Ishi furahia maisha ukiwa hai.