Bwashee kula mbege yenye msesewe mwingi sukari na pressure utakua unazisikia tuMm nafukia chochote tuu, maake sioni nikifika huko uzeeni,
Ambavyo silagi na kama hizo KFC, sjui pizza, baga sijawahi kuvielewa hivyo vitu
Kina kimathi wako 80+ na wanagonga kisusio na mbeke sisi tunakimbilia KFC tuonekane vyasaka kwako min -me
Aseeh ukiinywa mbege yenye msesewe inakuwa ni ogiiiii ukutane na machalari afu ndo ukaweke mbegeBwashee kula mbege yenye msesewe mwingi sukari na pressure utakua unazisikia tu
Ile ni dawa na ni ulevi, hata nyama lazima uweke lile jani letuAseeh ukiinywa mbege yenye msesewe inakuwa ni ogiiiii ukutane na machalari afu ndo ukaweke mbege
Nikikumbuka tuu,
Nilikutana na bibi wa kwanza Nairobi,
Ewaaah kuna mti maarufu sana kule rombo unaitwa mfifina unaujua? Wazee walikuwa wanafungia ng''ombe kwenye huo mtiIle ni dawa na ni ulevi, hata nyama lazima uweke lile jani letu
Yeah naujua mkuuEwaaah kuna mti maarufu sana kule rombo unaitwa mfifina unaujua? Wazee walikuwa wanafungia ng''ombe kwenye huo mti
Basi bhn ule mti tukichinja utasikia tunaita (mtesho)zile stik za kuchomea nyama wanapenda za huo mti vibaya mno!!! Ngoja nitafurte nauli msee muda unakaribia sitaki kwenda kutumwa dukani 🤣Yeah naujua mkuu
Hakika, afya ilindwe kwa wivu mkubwa sana.Umri wowote ni muhimu kujali afya
Since day one....hapo wazazi tunajukumu la kuelimisha jamii juu ya vyakula bora kuanzia ngazi ya familia.Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z
Sasa juzi kama kawaida mida ya jioni nimemkuta kakaa nje kibarazani nikamsalimu vizuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.
Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.
Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini
Msewe ndo niniBwashee kula mbege yenye msesewe mwingi sukari na pressure utakua unazisikia tu
Hahhaa mambo ya migombani haya mkuuMsewe ndo nini
Sure kaka muhimu kucheki afya kila maraHakika, afya ilindwe kwa wivu mkubwa sana.
Ila sisi wa 40+ ni muhimu zaidi kuzingatia maana maradhi nayo yanaanza kupiga hodi, japo kama foundation ilikuwa mbovu...😅